St Peter's Catholic Church, Administrator MATANGAZO Jumapili ya 27 ya Mwaka – Mwaka A 1. Ratiba ya Usafi wa Kanisa Tunawashukuru sana Jumuiya ya Mt. Athanas waliosafisha Kanisa jana. Idadi yao ni 5 Wiki ijayo ni zamu ya jumuiya ya Mt. Maurus . watafuatiwa na Jumuiya ya Mt. Josephine Ba... Sunday announcement 3 Okt 2026