St Peter's Catholic Church, Administrator MATANGAZO Sherehe ya UBATIZO WA BWANA Matangazo ya Parokia Tunawashukuru sana jumuiya ya Mt. Dominiko waliosafisha Kanisa jana. Idadi yao ni 27. Wiki ijayo ni zamu ya Jumuiya ya Mt. Martin wa Pores wakifuatiwa naJumuiya ya Mt. Polycarp . ... 11 Jan 2026