St Peter's Catholic Church, Administrator MATANGAZO DOMINIKA PILI YA MWAKA A Matangazo ya Parokia Tunawashukuru sana jumuiya ya Mt. Martin wa Pores waliosafisha Kanisa jana. Idadi yao ni 12. Wiki ijayo ni zamu ya Jumuiya ya Mt. Polycarp wakifuatiwa naJumuiya ya Mt. Hyasinta . ... St. Peter’s Catholic Church Sunday announcement 18 Jan 2026 Habari
Sr. Violet Kwanungu LSOF MAISHA YETU, HISTORIA YETU Maisha yetu ya leo ndio historia yetu ya kesho, itakayokumbukwa tukiwa hatupo tena hapa duniani.Tulivyo leo sivyo tulivyokuwa jana, tutakavyokuwa kesho ni matokeo ya jinsi tunavyoishi leo.Tuishi vizur... About Life History 13 Jan 2026 Blog yetu
St Peter's Catholic Church, Administrator MATANGAZO Sherehe ya UBATIZO WA BWANA Matangazo ya Parokia Tunawashukuru sana jumuiya ya Mt. Dominiko waliosafisha Kanisa jana. Idadi yao ni 27. Wiki ijayo ni zamu ya Jumuiya ya Mt. Martin wa Pores wakifuatiwa naJumuiya ya Mt. Polycarp . ... 11 Jan 2026 Matangazo ya Jumapili
Sr. Violet Kwanungu LSOF MOYO WA YESU USIOCHOKA KUTUPENDA Mwanangu, huu ni moyo wangu unaokupenda, hakuna moyo mwingine uliojaa mapendo kama moyo wangu. Usiache kuutafakari moyo wangu mtakatifu. Hakuna moyo mwingine utakaokupenda, kama moyo wangu unavyokupen... 8 Jan 2026 Blog yetu
Sr. Violet Kwanungu LSOF MAISHA NI SAFARI Maisha ni safari na wala kakuna binadamu anayejua mwisho wa safari yake hapa duniani. Maisha ni fumbo kwani hakuna binadamu mwenye uhakika wa maisha yake ya kesho, tuishi vizuri leo kwani kesho siyo y... About Life 8 Jan 2026 Blog yetu
Sr. Violet Kwanungu LSOF Vijana, Taifa la Kesho Vijana wategemewa, ndilo la kesho Taifa. Uwepo wenu vijana, ni furaha kwa Taifa. Wa kesho viongozi wetu , ni ninyi vijana wetu. Tambua thamani yenu, tunu ya taifa letu. Msipeperushwe vijana , na upepo... Youth 6 Jan 2026 Blog yetu
Sr. Violet Kwanungu LSOF MAISHA NI ZAWADI MAISHA NI ZAWADI Maisha ni zawadi nzuri aliyotujalia Mwenyezi Mungu ni zawadi ambayo hatuwezi kuipata mahali pengine popote pale. Uhai wa maisha yetu, ni zawadi isiyoweza kununulika kwa ghalama zozote... About Life 6 Jan 2026 Blog yetu
Sr. Violet Kwanungu LSOF ALAMA ZA NYAYO ZA MIGUU YAKO ALAMA ZA NYAYO ZA MIGUU YAKO Alama za nyayo za migugu yako hazifanani na alama za nyayo za miguu ya mtu mwingine yeyote yule. Kila unakoelekea alama za nyayo zako, hukufuata nyuma yako na wala huwezi ... History 18 Des 2025 Blog yetu
St Peter's Catholic Church, Administrator TANGAZO LA JUMAPILI YA TATU YA MAJIO (ADVENT) MATANGAZO: Tunawashukuru jamii ya St. Victoria ambao walisafisha kanisa jana, walikuwa 10 kwa idadi. Wiki ijayo jamii ya St. Steven itakuwa katika huduma, itakayofuatwa na jamii ya St. Joseph. Tunaand... St. Peter’s Catholic Church Sunday announcement announcement 16 Des 2025 Habari
Sr. Violet Kwanungu LSOF USIOGOPE MAANA NIMEKUKOMBOA Usiogope kuendelea na safari ya maisha yako, hata kama njia yako ina giza na wala huoni mwanga mbele yako. Usigogope kuendelea na safari ya maisha yako, hata kama unapita mbuganikwenye wanyama wakali.... Encouraging 15 Des 2025 Blog yetu
Sr. Violet Kwanungu LSOF BINADAMU SIO KITU PASIPO MUNGU KUMFANYA KUWA NI KITU MTU HANA KITU BILA MUNGU ANAPOMFANYA KITU “Ndipo Daudi, mfalme, akaingia, akaketi mbele za Bwana, akasema, ‘Mimi ni nani, Bwana Mungu, na nyumba yangu ni nini, hata umenileta hata hapa?” (2Samweli 7:1... 15 Des 2025 Blog yetu
St Peter's Catholic Church, Administrator MATANGAZO SHEREHE YA BWANA WETU YESU KRISTO MFALME Tunawashukuru kwa dhati Mtakatifu Monica jamii ambao waliosha Kanisa jana. Idadi yao ilikuwa 13. Wiki ijayo itakuwa zamu ya Mtakatifu Anthony wa Padua Jamii, ikifuatwa na Mtakatifu Elizabeth wa Hungar... 23 Nov 2025 Habari