St Peter's Catholic Church, Administrator TANGAZO LA JUMAPILI YA TATU YA MAJIO (ADVENT) MATANGAZO: Tunawashukuru jamii ya St. Victoria ambao walisafisha kanisa jana, walikuwa 10 kwa idadi. Wiki ijayo jamii ya St. Steven itakuwa katika huduma, itakayofuatwa na jamii ya St. Joseph. Tunaand... St. Peter’s Catholic Church Sunday announcement announcement 16 Des 2025 Habari